Tunajenga mifumo ya CCTV, Access Control, Fire Alarm na Networking inayolinda watu, mali na biashara yako kila saa.
*Ushauri wa awali na site survey ni bure













Kitotech Group Limited ni kampuni ya teknolojia na usalama inayotoa bidhaa na huduma za CCTV, Access Control, Fire Alarm, Networking na smart security solutions. Tunafanya ushauri, supply, installation, configuration na support.
Tunakupa suluhisho kamili za usalama na teknolojia kwa nyumba, biashara, hoteli, shule, hospitali, viwanda na taasisi.






Bidhaa chache zilizochaguliwa kutoka katalogi yetu. Tumia mishale kuona zaidi au pakua catalogue kamili.
Tunachanganya bidhaa halisi, ufundi wa kitaalamu na support ya uhakika ili kuhakikisha mfumo wako wa usalama unafanya kazi kwa ufanisi.

Maoni ya wateja wetu kuhusu huduma za Kitotech.
"Kitotech walitushauri mfumo sahihi wa CCTV na access control. Ufungaji ulikuwa wa kisasa na support yao ni ya haraka."
"Tulihitaji kamera na internet network kwa shule. Kitotech walifanya kazi kwa mpangilio na kutupa maelekezo ya kutumia mfumo."
"Kamera zetu sasa tunaona kupitia simu muda wowote. Wametupatia bidhaa nzuri na service yao ni ya kueleweka."
Angalia baadhi ya mifumo tunayosanifu na kusimika kwa biashara, taasisi na makazi. Fungua project kuona picha zaidi na maelezo ya suluhisho.
Package hizi ni za makadirio ya awali. Bei halisi hutegemea site survey, aina ya vifaa na ukubwa wa eneo.
Wasiliana nasi leo kwa ushauri, quotation, site survey au installation ya mifumo ya CCTV, Access Control, Fire Alarm na Networking.









